IBADA YA JUMAPILI SIKU YA BWANA YA 15 BAADA YA UTATU 13/09/2026
KKKT DKMS Online TV
0:00 / 0:00
IBADA YA JUMAPILI SIKU YA BWANA YA 15 BAADA YA UTATU 13/09/2026
865 просмотров · Трансляция закончилась 1 дн. назад
KKKT DKMS Online TV
9,4 тыс. подписчиков
865 просмотров · Трансляция закончилась 1 дн. назад
Jumapili, tarehe 13 Septemba 2026, ikiwa ni Siku ya Bwana ya 15 Baada ya Utatu, tunakuletea matangazo mubashara ya Ibada ya Jumapili Siku ya Bwana ya 15 Baada ya Utatu kutoka Ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu cha Dodoma – UDOM.
Ibada hii inaambatana na Ufunguzi wa Mkutano wa 6 wa Wachungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania – KKKT.
Ibada inaongozwa na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, akishirikiana na watumishi wengine wa Kanisa.
Tufuatilie kupitia:
📘 Facebook Account: North Eastern Diocese
📘 Facebook Page: ELCT – North Eastern Diocese
▶️ YouTube: KKKT DKMS Online TV
🌐 Website: www.elctned.org