Перейти к содержимому

Rais Magufuli ampa ulinzi wa Polisi Mwanamke Mjane anaetishiwa maisha

Millard Ayo

0:00 / 0:00

Rais Magufuli ampa ulinzi wa Polisi Mwanamke Mjane anaetishiwa maisha

559 236 просмотров · 9 лет назад
Millard Ayo
6,18 млн подписчиков
559 236 просмотров · 9 лет назад
Wakati Rais Magufuli akimaliza kuhutubia February 2 2017 ikiwa ni siku ya sheria ambapo maadhimisho yake yamefanyika katika viwanja vya Mahakama Ocean Road, Mama mmoja mkazi wa Tanga Sabaha Ally mjane mwenye watoto wawili alijitokeza mbele ya Rais Magufuli akiwa ameshika bango lenye maelezo na kutaka msaada kutoka kwa Rais katika matatizo aliyonayo.