Перейти к содержимому

NJIA 6 ZA KISAUKOLOJIA KUVUNJA KIBURI CHA MTU | Ego Collapse Hacks

Fikra Chanya

0:00 / 0:00

NJIA 6 ZA KISAUKOLOJIA KUVUNJA KIBURI CHA MTU | Ego Collapse Hacks

6 824 просмотра · 11 месяцев назад
Fikra Chanya
36 тыс. подписчиков
6 824 просмотра · 11 месяцев назад
Je, unajua mtu mwenye kiburi sana anaishi kwa kutegemea sifa na uthibitisho kutoka nje? Katika video hii, nitakuonyesha NJIA 6 ZA KISAUKOLOJIA ambazo unaweza kutumia kumuondoa nguvu ya ego bila fujo, bila mabishano, na kwa ustadi wa kiakili. Utajifunza: ✅ Jinsi ya kutumia kimya kuvunja majivuno ✅ Mbinu rahisi ya “ego collapse” bila ugomvi ✅ Psychology ya kwanini watu wenye kiburi hutegemea validation ✅ Siri za kuhimili watu wenye majivuno kazini, kwenye familia, na kwenye mahusiano 👉 Baki hadi mwisho ujue mbinu ya mwisho ambayo ni ndogo sana, lakini huchoma ego ya mtu moja kwa moja. 🚨 Subscribe sasa hivi kwa content zaidi za psychology, human behavior, na self-improvement. #PsychologyHacks#KuvunjaKiburi#MindPower #SelfImprovement#EgoCollapse#HumanBehavior #FikraChanya#PsychologySwahili#EgoVsHumility #LifeSkills