Перейти к содержимому

MOYO WA SHUKRANI ( OFFICIAL MUSIC VIDEO)

DOKC TV CATHOLIC SONGS

0:00 / 0:00

MOYO WA SHUKRANI ( OFFICIAL MUSIC VIDEO)

140 334 просмотра · 1 мес. назад
DOKC TV CATHOLIC SONGS
108 тыс. подписчиков
140 334 просмотра · 1 мес. назад
MOYO WA SHUKRANI ni wimbo wa kikatoliki unaotukumbusha umuhimu wa kuishi n moyo wa kumshukuru mungu kila siku, katika kila hatua ya maisha-wakati wa furaha, majaribu, mafanikio na changamoto. ni sala ya kumuomba mungu atufundishe kuwa wenyenyekevu, tusisahau tulipotoka, tumshukuru kwa kila hatua, na tuwe chombo cha kuwainua wengine wamjue na kumshukuru. tunapoishi kwa moyo wa shukrani, tunatambua kuwa kila tulicho nacho ni zawadi kutoka kwa mungu. tafadhali like,share, comment na subsscribe kwenye DOKC TV catholicsongs channel ili kuendelea kupata nyimbo za kikatoliki zinazojenga imani. Mungu akubariki kwa kutazama na kuabudu pamoja nasi. #moyowashukrani #nyimbozakikatoliki #DOKCTV #shukrani #imani #sifazamungu #catholicMusic #Kenya