Перейти к содержимому

ROHO MTAKATIFU NA IMANI | SIRI YA KUWA NA IMANI ISIYOTIKISIKA!

ROHO M TV 111

0:00 / 0:00

ROHO MTAKATIFU NA IMANI | SIRI YA KUWA NA IMANI ISIYOTIKISIKA!

185 просмотров · Трансляция закончилась 15 ч назад
ROHO M TV 111
14,2 тыс. подписчиков
185 просмотров · Трансляция закончилась 15 ч назад
📺🔥 MAOMBI YA SIKU 120 | SIKU YA 64 | MAOMBI, USHINDI, UKOMBOZI NA NEEMA YA MUNGU Karibu katika siku ya 64 ya safari yetu ya siku 120 za maombi mbele za Mungu! Leo tunaendelea kusimama katika madhabahu ya maombi tukimtafuta Mungu kwa moyo wote, tukiamini kwamba hakuna jambo lililo gumu kwake. 🙏 USIKOSE KUSHIRIKI MAOMBI HAYA! Katika kipindi hiki tutaomba kwa ajili ya: Kuvunjwa kwa kila kifungo cha kiroho. Kufunguliwa kwa milango iliyofungwa. Ukombozi wa familia na uzao wetu. Ushindi dhidi ya nguvu za giza. Uponyaji na urejesho wa maisha. Neema ya Mungu katika kazi na biashara. Kutimizwa kwa kusudi la Mungu katika maisha yetu. 📖 ANDIKO LA SIKU: Yeremia 33:3 "Niite, nami nitakuitikia, nami nitakuonyesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua." 🔥 JINSI YA KUSHIRIKI: Ungana nasi katika maombi hadi mwisho. Andika hitaji lako la maombi kwenye comment. Shiriki LIVE hii kwa ndugu, jamaa na marafiki. Subscribe ROHO M TV 111. Washa kengele ya taarifa ili usikose vipindi vijavyo. MHUBIRI: Prophet Dr. Emmanuel P. Sweya HUDUMA: ROHO M TV 111 🙏 TUFUNGE PAMOJA! MUNGU ATAFANYA MIUJIZA! #MaombiYaSiku120 #SikuYa64 #MaombiYaVita #MaombiYaUkombozi #MaombiYaNguvu #ROHOMTV111 #ProphetEmmanuelSweya #MaombiYaKilaSiku #Ushindi #NeemaYaMungu 📖 “Ninyi mtaijua kweli, nayo kweli itawaweka huru.” — Yohana 8:32 KWA MAWASILIANO ZAIDI +255 763 53 89 42 NAMBA YA SDAKA M PESA +255 763 53 89 42