LOVE AND DESTINY S01E01 Swahili series | Ystar Pro, Chilagu Legacy Cinema, Flex Studio Original
𝕐𝕊𝕥𝕒𝕣 ℙ𝕣𝕠𝕋𝕍 📺
0:00 / 0:00
LOVE AND DESTINY S01E01 Swahili series | Ystar Pro, Chilagu Legacy Cinema, Flex Studio Original
70 просмотров · 6 дн. назад
𝕐𝕊𝕥𝕒𝕣 ℙ𝕣𝕠𝕋𝕍 📺
26 подписчиков
70 просмотров · 6 дн. назад
ALIKUFA AU ALIUAWA?
Miaka 10 iliyopita Von alipotea ghafla. Familia ilisikia kifo, lakini MWILI HAUJAWAHI KUPATIKANA.
Aliikuwa kijana mwenye ndoto moja tu - kuwa BILLIONAIRE na kuitoa familia yake kwenye laana ya umaskini. Hakuna aliyemuamini.
Leo, MyLah bado analia. Kila usiku anamsikia, anamuota, anamhisi yuko karibu yake... lakini akigeuka ni hewa tu.
Mpaka siku hii...
Kivuli kimerudi nyumbani kwa akina Von. Ni Von kweli? Au ni mtego wa yule rafiki yake wa utotoni aliyemwekea MyLah sharti la KICHAA - "Ukitaka Von aokolewe, basi uwe wangu"?
Na kwa nini boyfriend wa dada yake Von anachunguza siri ya madawa ya kulevya na kifo cha Von usiku na mchana?
LOVE AND DESTINY - The Ghostmaker | Episode 1
Utoto wa Von na MyLah ulivyoharibiwa na wivu, ahadi ya miaka 10, na kurudi kwa mtu ambaye kila mtu alidhani amekufa.
Je MyLah atamkumbatia Von au atamkimbia kwa sababu ya makubaliano aliyoingia?
Tazama mpaka mwisho - MWISHO WAKE UTAKUSHTUA.
🎬 Directed by YStar ProTV
🎭 Cast: Von, MyLah
📍 Bongo Series 2026
SUBSCRIBE + Bonyeza Kengele ili usipitwe na Episode 2 - VON IS BACK
Comment: Unadhani Von alikufa kweli au alifichwa?
#LoveAndDestiny #BongoSeries #SwahiliSeries #YStarProTV #Mapenzi #BongoMovie2026 #VonNaMylah #TheGhostmaker