Перейти к содержимому

Jinsi ya Kupiga RHUMBA ya Bakulutu

Dekanto Bass

0:00 / 0:00

Jinsi ya Kupiga RHUMBA ya Bakulutu

602 просмотра · 1 г. назад
Dekanto Bass
6,67 тыс. подписчиков
602 просмотра · 1 г. назад
Katika video hii utafundishwa jinsi ya kupiga rhumba ya Bakulutu kwenye bass guitar kwa hatua rahisi na zenye kueleweka. Ni somo maalum kwa wanaoanza na hata waliopo kwenye kiwango cha kati ambao wanataka kujua mbinu na ladha ya rhumba ya Congo. 👉 Usisahau ku-subscribe ili upate masomo zaidi ya rhumba, seben, na mitindo mingine ya muziki wa Congo moja kwa moja kwenye channel hii.    / @dekantobass