TUKIYATAFAKARI || SDA LODWAR CENTRAL CHURCH CHOIR (OFFICIAL VIDEO)
SDA Lodwar Central Church Choir
0:00 / 0:00
TUKIYATAFAKARI || SDA LODWAR CENTRAL CHURCH CHOIR (OFFICIAL VIDEO)
2 921 просмотр · 1 год назад
SDA Lodwar Central Church Choir
529 подписчиков
2 921 просмотр · 1 год назад
LYRICS:
Tukiyatafakari mambo ya Kalvari jinsi tulivyopata ukombozi wetu ,Mwana Wa Adamu akibeba makovu mgongoni alipochapwa na mijeledi, (Yote Ni Kwa ajili yangu nawe wadhambi tupate okolewa×2)×2
Hakukuwa Na njia nyingine ya kupata ukombozi kutoka dhambini ,Ni mwana Wa Adamu pekee angeweza kutuokoa Sisi wanadamu, ili tuwe huru kutokana na dhambi iliyotukaba sote,sasa tu wasafi kwa Jina lake aliyetufilia mtini×2
Injili itahubiriwa kotekote Duniani watu wapate kumjua Yule aliyewafilia mtini ,Alishuka Duniani kupanda mbegu za ufalme Wa mbinguni ;walio masikini Wa kiroho ndio watakao uridhi Huo ufalme.
Composer: @brayomuziki
Instrumentallist: Muziki Studios
Audio: Muziki Records
Video: @VarchMedia
Youtube: @SDALodwarCentralChoir