NIKIPI ADIMU | Rafiki wa Kweli ni Hazina | Sheikh Yusuf Abdi | Official Nasheed 2026
Sheikh Yusuf Abdi
0:00 / 0:00
NIKIPI ADIMU | Rafiki wa Kweli ni Hazina | Sheikh Yusuf Abdi | Official Nasheed 2026
2 340 просмотров · 1 мес. назад
Sheikh Yusuf Abdi
80,7 тыс. подписчиков
2 340 просмотров · 1 мес. назад
NIKIPI ADIMU ni nasheed inayozungumzia thamani ya rafiki wa kweli katika maisha. Katika zama ambazo urafiki wa dhati umekuwa adimu, kumpata rafiki mwema, mwaminifu na mwenye dini ni neema kubwa.
“Kwa kipindi hiki ni kubwa neema,
Kupata rafiki alo kuwa mwema…”
Nasheed: NIKIPI ADIMU
By: Sheikh Yusuf Abdi
Usisahau Subscribe, Like, Comment & Share ili ujumbe huu uwafikie wengine.