Kitu JPM ameongea kuhusu Mwenyekiti wa UVCCM aliekamatwa
Millard Ayo
0:00 / 0:00
Kitu JPM ameongea kuhusu Mwenyekiti wa UVCCM aliekamatwa
57 340 просмотров · 8 лет назад
Millard Ayo
6,2 млн подписчиков
57 340 просмотров · 8 лет назад
President Magufuli leo amefungua mkutano wa mkuu wa tisa wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi 'UVCCM' Dodoma ambapo akihutubia wajumbe wa mkutano amezungumzia ishu ya Mwenyekiti wa UVCCM Sadifa Khamis kwa tuhuma za rushwa