Перейти к содержимому

TUTAFANANA NAYE // THE MAVOS// Official Video 4k

NYUMBANI MEDIA Pro.

0:00 / 0:00

TUTAFANANA NAYE // THE MAVOS// Official Video 4k

3 397 просмотров · 3 дн. назад
NYUMBANI MEDIA Pro.
3,59 тыс. подписчиков
3 397 просмотров · 3 дн. назад
Tazameni, ni pendo la namna gani alilotupa Baba, kwamba tuitwe wana wa Mungu; na ndivyo tulivyo. Kwa sababu hii ulimwengu haututambui, kwa kuwa haukumtambua yeye. Wapenzi, sasa tu wana wa Mungu, wala haijadhihirika bado tutakavyokuwa; lakini twajua ya kuwa atakapodhihirishwa, tutafanana naye; kwa maana tutamwona kama alivyo. Na kila mwenye matumaini haya katika yeye hujitakasa, kama yeye alivyo mtakatifu. Wimbo huu ni utunzi wake Mwl. George Kabelwa, na umeimbwa na wanakwaya wa THE MAVOS ambao wanapatikana Musoma Mjini. Umerekodiwa katika Studio za NYUMBANI MEDIA PRO, zilizopo Musoma Mjini. MAWASILIANO +255 625 907 549 George Kabelwa- (Mwl, Mtunzi, Sound Eng., CEO Na Director) +255 756 757 689 Benedict Castory- Mkurugenzi). #muzikiwainjili #kwayakatoliki