Перейти к содержимому

2026 SAHAU KUTOBOA KAMA HAUJUI UJUZI HUU UTAKAOBADILISHA MAISHA YAKO | JOEL NANAUKA

Hamasika Tv

0:00 / 0:00

2026 SAHAU KUTOBOA KAMA HAUJUI UJUZI HUU UTAKAOBADILISHA MAISHA YAKO | JOEL NANAUKA

77 653 просмотра · 5 месяцев назад
Hamasika Tv
122 тыс. подписчиков
77 653 просмотра · 5 месяцев назад
Dunia inabadilika kwa kasi, na mwaka 2026 na kuendelea haitakuwa rahisi kufanikiwa kama hauna ujuzi unaohitajika katika maisha ya sasa Katika video hii Joel Nanauka anaelezea ukweli muhimu ambao vijana wengi hawaujui na ujuzi unaohitajika kwa kila kijana kama kweli unataka kufanikiwa Kama wewe ni kijana unayetaka kufanikiwa, kupata mwelekeo wa maisha, na kujifunza mambo yatakayokusaidia kutoboa, basi video hii ni kwa ajili yako. 👍 Usisahau LIKE, SHARE, na SUBSCRIBE ili kupata video zaidi za motisha na mafanikio. #JoelNanauka #Mafanikio #UjuziWaMaisha #MotishaKwaVijana #SuccessMindset #AfricanMotivation #LifeChangingSkills