Перейти к содержимому

WAVUVI MONDULI WAFURIKA ZIWA MANYARA KUTAFUTA MIILI YA WENZAO, TANAPA YASISITIZA JAMBO HILI

Daily News Digital

0:00 / 0:00

WAVUVI MONDULI WAFURIKA ZIWA MANYARA KUTAFUTA MIILI YA WENZAO, TANAPA YASISITIZA JAMBO HILI

1 144 просмотра · 3 г. назад
Daily News Digital
285 тыс. подписчиков
1 144 просмотра · 3 г. назад
Wananchi wakazi wa Kijiji cha Jangwani Wilayani Monduli Mkoani Arusha Wake kwa Waume ambao wameomekana wakiwa na Mitumbwi ndani ya Ziwa Manyara. Mara hii si kwa ajili ya Kufanya Shughuli zao za kila Siku za Uvuvi bali kwa ajili ya kuwatafuta wenzao wanaodaiwa kuzamishwa ndani ya ziwa hilo na Askari wa Hifadhi ya ziwa Manyara. Shirika la Hifadhi za Taifa TANAPA Tayari limekanusha Taarifa hizo likidai Vurugu zilizoanzishwa na wananchi hao Mnamo Mei 22.2023 wakipinga kukamatwa kwa wenzao walioingia ndani ya Hifadhi zilipelekea Kifo cha Mtu Mmoja na Majeruhi Saba. Lakini mpaka Sasa Tayari idadi ya vivo vimefikia Viwili huku wavuvi wa kijiji cha Jangwani wakisisitiza wenzao wengine wawili walizamishwa na askari wa Hifadhi ndani ya Ziwa hilo pasi na msaada. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo:   / spotileo-176.  . HabariLeo:   / habarileo   DailyNews:   / dailynewstz   INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09