KIRINJIKO ILIPOANZA | Simulizi ya Mkuu wa Shule wa Kwanza
Kirinjiko Alumni foundation
0:00 / 0:00
KIRINJIKO ILIPOANZA | Simulizi ya Mkuu wa Shule wa Kwanza
38 просмотров · 6 дней назад
Kirinjiko Alumni foundation
69 подписчиков
38 просмотров · 6 дней назад
Katika simulizi hii ya kipekee, Said Nsigalila, Mkuu wa Shule wa kwanza wa Kirinjiko, anatufungulia ukurasa wa mwanzo kabisa wa shule hii kuanzia namna alivyochaguliwa kushika nafasi hiyo, siku yake ya kwanza kuripoti, hadi hekaheka walizokutana nazo wakati wa kuanzisha shule.
Anakumbuka mazingira magumu ya siku hizo, upepo mkali na changamoto ya wadudu aina ya Nairobi Fly, hali iliyowafanya baadhi ya wazazi waliokuwa wamewaleta watoto wao kuripoti shule kubadili uamuzi na kuondoka nao.
Ni simulizi ya mwanzo ambao haukuwa rahisi, lakini ukawa msingi wa taasisi ambayo miaka baadaye imeunganisha vizazi vingi vya wanafunzi.
Hii ni historia ya Kirinjiko kutoka kwa mmoja wa watu walioianza.
Tazama simulizi kamili, subscribe KirinJiko Alumni Foundation, na usisahau kushare na alumni mwenzako.
#KirinJikoAlumni #KirinJiko #HistoriaYaKirinJiko #KAF #KirinJikoAlumniFoundation