Mfuko wa fidia kwa wafanyakazi (WCF) na mchango wake kwa sekta binafsi ya sekta ya umma
Azam TV
0:00 / 0:00
Mfuko wa fidia kwa wafanyakazi (WCF) na mchango wake kwa sekta binafsi ya sekta ya umma
1 263 просмотра · 4 г. назад
Azam TV
3,34 млн подписчиков
1 263 просмотра · 4 г. назад
Mfuko wa fidia kwa wafanyakazi ni sehemu ya mifuko ya ustawi wa jamii inayoshughulikia utoaji wa mafao kwa wafanyakazi wanaopatwa na majanga wakiwa katika utumishi.
Je, ni kwa kiasia gani mfuko huu umekuwa na mchango kwa wanachama wake kutoka sekta binafsi na sekta ya umma? Goodluck Paul na Hilda Phoya wanayahoji hayo na mengine katika Hoja Mezani.