5. SIRI ILIYOMO KATIKA IMANI || mch. M'MASA || part 5 mwisho ( TUNALINDWA KWA IMANI ) 🎬BANZA KATELE
MAJI YALIYO HAI
0:00 / 0:00
5. SIRI ILIYOMO KATIKA IMANI || mch. M'MASA || part 5 mwisho ( TUNALINDWA KWA IMANI ) 🎬BANZA KATELE
32 просмотра · 2 нед. назад
MAJI YALIYO HAI
33 подписчика
32 просмотра · 2 нед. назад
Kuna kusikia 🧏🏿♂️ na kwelewa
Mwanafunzi asili yake ni kuhoji au kuuliza
Mwana wa Mungu unapo soma Biblia na kuna mahala hukuelewa uliza Roho Mtakatifu akufunulie
Au muulize mchungaji wako au mwalimu
Unafundishwa ili ushike na sio kuishia kusikia 🧏🏿♂️tu na yakapita
Iyo inakufanya usikuwe Kiroho na kushindwa kwelewa Neno la Mungu
Mwisho utadanganywa na watumishi na ukakubali kuishi njee ya mahagizo ya Mungu
Matendo ya Mitume 6:7
7 Neno la Mungu likaenea; na hesabu ya wanafunzi ikazidi sana katika Yerusalemu; jamii kubwa ya makuhani wakaitii ile Imani.
Husiishie kuokoka tu ukaona fahari kuitwa Mkristo angali Kristo mwenyewe umjuwi
Penda sana kufanyika mwana funzi wa Mungu
Mathayo 28:19-20
19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu
20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
Iyi ni sehemu ya pili kwenye somo linalosema
Bila kufanya wanafunzi hakuna Kanisa
Mwana wa Mungu soma Neno la Mungu
Na Mungu awabariki sanaKuna kusikia 🧏🏿♂️na kwelewa
Mwanafunzi asili yake ni kuhoji au kuuliza
Mwana wa Mungu unapo soma Biblia na kuna mahala hukuelewa uliza Roho Mtakatifu akufunulie
Au muulize mchungaji wako au mwalimu
Unafundishwa ili ushike na sio kuishia kusikia 🧏🏿♂️tu na yakapita
Iyo inakufanya usikuwe Kiroho na kushindwa kwelewa Neno la Mungu
Mwisho utadanganywa na watumishi na ukakubali kuishi njee ya mahagizo ya Mungu
Matendo ya Mitume 6:7
7 Neno la Mungu likaenea; na hesabu ya wanafunzi ikazidi sana katika Yerusalemu; jamii kubwa ya makuhani wakaitii ile Imani.
Husiishie kuokoka tu ukaona fahari kuitwa Mkristo angali Kristo mwenyewe umjuwi
Penda sana kufanyika mwana funzi wa Mungu
Mathayo 28:19-20
19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu
20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
Iyi ni sehemu ya TANO na mwisho, wa somo letu linalosema
SIRI ILIYOMO KATIKA IMANI
Mwana wa Mungu soma Neno la Mungu
Na Mungu awabariki sana
✍🏿 KATELE BANZA