NGUVU YA NURU FULL MOVIE : SEASON 02 ( Ep 1-10)
Wachu Movies
0:00 / 0:00
NGUVU YA NURU FULL MOVIE : SEASON 02 ( Ep 1-10)
6 083 просмотра · 2 дня назад
Wachu Movies
51,8 тыс. подписчиков
6 083 просмотра · 2 дня назад
Vita ya imani ni kubwa sana, kimwili unaweza kuwa sawa lakini kiroho bado mweupe kabisa, Vita ya kiroho inahamia Nzela, Je Mchungaji atashinda majaribu ya imani?
Wachawi na nguvu za kipepo zinazotawala mji huo zinamuona kama tishio, na sasa mashambulizi ya kiroho yanaanza. Je, ataweza kusimama imara? Je, imani yake itamvusha kwenye giza hili?
Tazama simulizi hii ya kusisimua ya maombi, majaribu, mapambano na ushindi wa kiroho.
AUDIO: Andante by Kevin MacLeod is licensed under a Creative Commons Attribution 4.0 license. https://creativecommons.org/licenses/...
Wonderful Epic Relaxing Music by Sleepy Wolf C is licensed under a Creative Commons Attribution 4.0 license. https://creativecommons.org/licenses/...
✅ Usisahau ku-Like, Ku-Subscribe na Kushare kwa wengine.
#Uchawi #Imani #VitaYaKiroho #Maombi #Mchungaji #Majini #FilamuZaKibongo