HABARI KUBWA ZA MOTO: UKWELI WOTE KUHUSU VITA YA RURAMBO NA WAZALENDO! (FIZI & UVIRA)
KWETU NEWS24
0:00 / 0:00
HABARI KUBWA ZA MOTO: UKWELI WOTE KUHUSU VITA YA RURAMBO NA WAZALENDO! (FIZI & UVIRA)
7 149 просмотров · 6 дней назад
KWETU NEWS24
41,1 тыс. подписчиков
7 149 просмотров · 6 дней назад
HABARI MOTO MOTO: Jemedari Degoma Aweka Wazi Mapigano ya Rurambo na Hali ya Wazalendo
Katika ripoti hii, tunakuletea maelezo na ushuhuda kuhusu hali ya usalama na mapigano yanayoendelea maeneo ya Rurambo, Kaziba, na maeneo ya jirani katika Mkoa wa Kivu Kusini. Viongozi wa Wazalendo wanaeleza changamoto wanazopitia kwenye uwanja wa vita na kutoa wito wa kushirikiana na kujikusanya kwa pamoja.
📢 DISCLAIMER & COPYRIGHT CREDIT (TAARIFA YA HAKI MILIKI):
Chanzo cha Audio (Original Audio Source): Sehemu ya audio ya mahojiano/ripoti hii imechukuliwa kutoka chaneli ya Kivu live.
Matumizi ya Fair Use (Fair Use Notice): Audio hii imetumiwa chini ya kanuni za matumizi ya haki (Fair Use) kwa ajili ya utoaji wa habari, uchambuzi wa ki-habari, na kutoa uelewa kwa umma (News Reporting & Educational Purposes).
Haki za Maudhui: Haki zote za rekodi ya asili zinabaki kwa wamiliki wa asili (Kivu live). Ikiwa kuna swali au tatizo kuhusu haki miliki, tafadhali tusiliane nasi ili tulitatue mara moja.
🔔 USISAHAU KUSUBSCRIBE, KULIKE NA KUSHARE!
Tafadhali bonyeza alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata taarifa na uchambuzi wa habari mpya kutoka Kivu Kusini na DRC.
#KivuLive #Wazalendo #Rurambo #Kaziba #Uvira #SouthKivu #DRC #FARDC #KWETUNEWS24