Marry Mhina - Zumbe Yesu (Official Audio) | Vol. 1
Marry Mhina
0:00 / 0:00
Marry Mhina - Zumbe Yesu (Official Audio) | Vol. 1
80 просмотров · 4 дня назад
Marry Mhina
22 подписчика
80 просмотров · 4 дня назад
Huu ni wimbo namba 6 kutoka kwenye Albamu mpya ya Injili Vol. 1 inayoitwa Ita Jina La Yesu kutoka kwa mwimbaji Marry Mhina. Tunatumaini wimbo huu utaleta baraka kubwa na kukuweka karibu na uwepo wa Mungu.
Asante kwa kusikiliza na kuendelea kuunga mkono huduma hii. Usisahau kusubscribe, kulike, na kushiriki ili ujumbe huu uwafikie na wengine!
Orodha ya Nyimbo Kwenye Albamu Hii (Vol. 1):
Ita Jina la Yesu
Yakale Yamepita
Yesu ni Rafiki Mwema
Hakuna Kama Yesu
Changamka
Zumbe Yesu
Bwana ni Nuru Yangu
Damu ya Yesu
Mawasiliano na Huduma:
📞 Simu: +255 718 574 287 / +255 689 549 892
All rights reserved. Unauthorized copying, re-recording, broadcasting, public performance, hiring, or rental of this recording is strictly prohibited.
#MarryMhina #ZumbeYesu #ItaJinaLaYesu #NyimboZaInjili #TanzaniaGospel #GospelMusic