Перейти к содержимому

ONE HOUR SWAHILI GOSPEL MIX : MWAMBA IMARA 🙏❤️ 🙌Nyimbo za Kutokata Tamaa | Mungu Ana Stahili Sifa

Sauti Ya Rehema

0:00 / 0:00

ONE HOUR SWAHILI GOSPEL MIX : MWAMBA IMARA 🙏❤️ 🙌Nyimbo za Kutokata Tamaa | Mungu Ana Stahili Sifa

2 185 просмотров · 3 месяца назад
Sauti Ya Rehema
75 подписчиков
2 185 просмотров · 3 месяца назад
Karibu kwenye channel ya Sauti ya Rehema 🎶🙏 Katika video hii utasikia nyimbo za injili zenye kuleta faraja, tumaini na nguvu kwa kila anayepitia changamoto. Mungu ni MWAMBA IMARA, hata katika majaribu, hatupaswi kukata tamaa kwani yeye ni mwaminifu milele. Nyimbo za: Kutokata tamaa, Kumtumaini Mungu, Kuabudu na kusifu Faraja ya rohoni, Mungu ana stahili sifa zote. Kama umebarikiwa na ujumbe huu: Tafadhali 👍 Like 💬 Comment 🔔 Subscribe kwenye channel ya Sauti ya Rehema kwa nyimbo zaidi za injili na maombi. Mungu akubariki sana ❤️ #MwambaImara #SwahiliGospel #SautiYaRehema #Worship #NyimboZaInjili #KutokataTamaa #GospelMix #PraiseAndWorship