Перейти к содержимому

Mwaka Mrefu (Leap Year) Ulitoka Wapi? — Majibu kwa Maswali Yenu

Afrika Imara

0:00 / 0:00

Mwaka Mrefu (Leap Year) Ulitoka Wapi? — Majibu kwa Maswali Yenu

1 613 просмотров · 8 дней назад
Afrika Imara
5,51 тыс. подписчиков
1 613 просмотров · 8 дней назад
Samuel Lazaro aliuliza maswali mawili kwenye maoni, na leo tunayajibu: 1. Kwa nini kalenda ina mwaka mrefu na mfupi, na kwa nini siku ya ziada huwekwa Februari? Kutoka kalenda ya Julius Caesar hadi mabadiliko ya Papa Gregory XIII mwaka 1582. 2. Je, joto na mwanga kutoka kwenye jua husafiri pamoja? Nuclear fusion, fotoni, na wigo wa mnururisho wa sumakuumeme (electromagnetic spectrum). Una swali kuhusu fizikia, unajimu au ulimwengu wetu? Liandike kwenye maoni. 📌 Takwimu sahihi (zimeonyeshwa pia kwenye video): • Mwaka wa jua: siku 365, saa 5, dakika 48, sekunde 45 • Kalenda ya Julius ilizidi kwa takriban dakika 11 kila mwaka • Kanuni ya Gregory: mwaka unaogawanyika kwa 4 ni mwaka mrefu, isipokuwa miaka ya karne; hiyo ni mwaka mrefu tu ikigawanyika kwa 400 (1900 hapana, 2000 ndiyo, 2100 hapana) • Kasi ya mwanga: takriban km 300,000 kwa sekunde ≈ km bilioni 1.08 kwa saa • Mwanga wa jua hufika duniani baada ya dakika 8 na sekunde 20 Chapters 0:00 Utangulizi 2:08 Maswali ya Samuel Lazaro 6:25 Swali la kwanza: mwaka mrefu (leap year) 8:35 Kalenda ya Julius Caesar 11:00 Kosa la kalenda ya Julius 12:18 Papa Gregory XIII na wanasayansi wake 14:22 Siku ya jua na zile dakika nne 17:11 Saa sita kila mwaka → 29 Februari 17:47 Kwa nini Februari? 19:43 Kanuni ya miaka ya karne: 1900, 2000, 2100 21:29 Swali la pili: joto na mwanga wa jua 23:06 Safari ya mwanga: dakika 8 na sekunde 20 25:10 Nuclear fusion ndani ya jua 25:53 Wigo wa mnururisho wa sumakuumeme 29:24 Joto, mwanga na UV husafiri pamoja 29:59 Hitimisho Credits Picha na video: NASA, Solar Dynamics Observatory / Goddard Space Flight Center (kikoa cha umma). Julius Caesar, Metropolitan Museum of Art (CC0). Orion, Taavi Niittee (CC0). Picha za Papa Gregory XIII (Scipione Pulzone) na Forum ya Roma (Cesare Tallone), kikoa cha umma, kupitia Wikimedia Commons. Inter gravissimas (1582), kikoa cha umma. Muziki: • 'Petrichor' by Scott Buckley - released under CC-BY 4.0. www.scottbuckley.com.au Leseni: Creative Commons Attribution 4.0 (CC BY 4.0) — https://creativecommons.org/licenses/... Mabadiliko: vipande vya wimbo vimechaguliwa, vimeunganishwa na kupunguzwa sauti chini ya maelezo. (Excerpts were selected, crossfaded and mixed under the narration.)