Перейти к содержимому

KUFANYA KAZI KWA BIDII-MAONO EP03

Eng Kabenda Balete

0:00 / 0:00

KUFANYA KAZI KWA BIDII-MAONO EP03

1 154 просмотра · 7 л. назад
Eng Kabenda Balete
6,91 тыс. подписчиков
1 154 просмотра · 7 л. назад
Mithali 22:29 "Je? Wamwona mtu mwenye bidii katika kazi zake? Huyo atasimama mbele ya wafalme; Hatasimama mbele ya watu wasio na cheo." Bidii humfanya mtu aweze kufikia hatima ya maisha yake, wanaofanya kazi kwa bidii hujikuta wanakaa pamoja na wakuu, kwa sababu kazi za mikono yao zinawapa heshima hiyo. Ungana nasi kujifunza somo hili Tuandikie au tupigie Email:kbaletse@gmail.com Phone: 0743119699