Перейти к содержимому

Brayban Salome (Official Music Audio)

Brayban

0:00 / 0:00

Brayban Salome (Official Music Audio)

312 920 просмотров · 3 г. назад
Brayban
106 тыс. подписчиков
312 920 просмотров · 3 г. назад
brayban Salome(Official Music Audio) #mapenzi #mahusiano LYRICS INTRO Oh nana (AAAH) Don music VERSE 1 Ulipopata bwana na nikapata bibi, nilikwambia ukanambia Sasa kwanini wanichukia, wanichukia bure bure Si ulikuja nyumbani ukimsifia anakuhudumia, unafurahia Sasa kwanini wanichukia, wanichukia bureee Mbaya wa mbaya wangu mi ni rafiki, mimi na wewe hatuna baya (usifanye ivo oh!, usifanye ivo) Adui wa adui yangu ni mwanangu, mimi nawewe ni kama ndugu (usifanya ivo oh!, usifanya) Ni muda mrefu hatujaonana, mimi na wewe hatujaonana Mambo yamebadilika ni chini juu, toka mimi na wewe tulipo achana Chorus Jamirah (Mali ya Salome) Jamirah (Mali ya Salome) Jamirah (Mali ya Salome) Nimeshakuwa mali ya Salome Jamirah (Mali ya Salome) Jamirah (Mali ya Salome) Jamirah (Mali ya Salome) Nimeshakuwa mali ya Salome Verse2 Labda niende soko nikanunue mboga Nikusongee na kaugali ka udaga Suala la mapenzi limeshaishaga Siku hizi nina mpenzi mwingine Hela ya matumizi ntakupa ah Nauli pia ntalipa ah Ila sio suala la mapenzi Zamani yalishaisha ah Mbaya wa mbaya wangu mi ni rafiki, mimi na wewe hatuna baya (usifanye ivo oh!, usifanye ivo) Adui wa adui yangu ni mwanangu, mimi nawewe ni kama ndugu (usifanya ivo oh!, usifanya) Chorus Jamirah (Mali ya Salome) Jamirah (Mali ya Salome) Jamirah (Mali ya Salome) Nimeshakuwa mali ya Salome Jamirah (Mali ya Salome) Jamirah (Mali ya Salome) Jamirah (Mali ya Salome) Nimeshakuwa mali ya Salome Bridge May be things went wrong Jamirah, Don’t worry Don’t cry, all is well Oh Jamirah oh, Oh oh Jamirah Oh I know you, strong women Nice friend JAMIRAH