KUVUNJA MADHABAHU ZA MATESO | MT. WILLIAM S. MCHOME na SHADRACK SHANGO | TRH 17/05/2025
YAWEZEKANA Tv
0:00 / 0:00
KUVUNJA MADHABAHU ZA MATESO | MT. WILLIAM S. MCHOME na SHADRACK SHANGO | TRH 17/05/2025
230 просмотров · Трансляция закончилась 1 г. назад
YAWEZEKANA Tv
8,01 тыс. подписчиков
230 просмотров · Трансляция закончилась 1 г. назад
MAOMBI YA KUVUNJA MADHABAHU ZA MATESO KATIKA UKOO, FAMILIA,JAMAA, USIPITE MAOMBI HAYA YATAKAYO HARIBU KAZI ZA SHETANI KUPITIA MIZIMU,MATAMBIKO, NGUVU ZA GIZA Karibu Kuungana nasi katika MAOMBI HAYA USIKU HUU SAA NNE NA NUSU {YAWEZEKANA TV}.
Madhabahu za Mateso ni Nini?
Madhabahu za mateso ni maeneo ya kiroho ambapo roho za watu, familia au jamii zimefungwa na kuteswa kiroho kupitia maagano mabaya, laana, kafara, uchawi, au dhambi za ukoo. Haya ni madhabahu yaliyojengwa na adui (shetani au watumishi wake) kwa lengo la kuharibu maisha ya mtu au kizazi chake kupitia mateso ya aina mbalimbali kama:
Ugumu wa maisha usioeleweka
Magonjwa ya kurithi au yasiyoisha
Kufeli kila mara bila sababu
Kukataliwa, kuchelewa au kufungwa kimaisha
Haya ni Maombi ya Moto ya kufunguliwa kila shida uliyo nayo - Maombi haya yana nguvu za Mungu za kukusaidia kila kona ya maisha yako. Mombi haya yanaongozwa na Man of God. WILLIAM S. MCHOME {Mzee wa fire}
AGENDA: KUVUNJA MADHABAHU ZA MATESO
🔥 Mistari ya Biblia ya Kutumia
WAAMUZI 6
Kwa Mawasiliano Zaidi;
Kwa USHAURI NA MAOMBI
EV. WILLIAM S.MCHOME
+255 787 493 443 HUDUMA YA USHAURI NA MAOMBI
+255 656 870 833 SADAKA /DHABIHU
#mana