Simba SC 2-1 Yanga SC | Highlights | Kariakoo Derby | NBC Premier League 10/10/2026
ufmradiotz
0:00 / 0:00
Simba SC 2-1 Yanga SC | Highlights | Kariakoo Derby | NBC Premier League 10/10/2026
40 898 просмотров · 9 ч назад
ufmradiotz
180 тыс. подписчиков
40 898 просмотров · 9 ч назад
SIMBA VS YANGA | Simba SC imepindua meza na kuichapa Yanga SC kwenye ligi kuu kwa mara ya kwanza baada ya miaka mitatu…!!!.
Hii ilikuwa ni Kariakoo Derby iliyopigwa kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam, Yanga wakitangulia kwa goli la Peter Shalulile dakika ya tano, lakini Simba wakacharuka na kusawazisha kwa goli la Neo Maema na kupata la ushindi dakika tatu baadaye kupitia kwa Elie Mpanzu.
#UFMRadio #SisiNiWewe