LIVING ROOM UPGRADE! ✨ New Sofa Covers & Curtains + Cook Dinner & Evening Routine With My Kids! 🏡❤️
Miraj Classic
0:00 / 0:00
LIVING ROOM UPGRADE! ✨ New Sofa Covers & Curtains + Cook Dinner & Evening Routine With My Kids! 🏡❤️
4 380 просмотров · 2 месяца назад
Miraj Classic
1,25 тыс. подписчиков
4 380 просмотров · 2 месяца назад
Karibuni tena kwenye chaneli yangu! 🥰 Kwenye vlog ya leo, nawapeleka na mimi kuona mabadiliko madogo ya sebuleni kwangu baada ya kubadilisha mashuka ya sofa (sofa covers) na mapazia—ni ajabu jinsi mabadiliko madogo yanavyoweza kupendezesha nyumba! Baada ya hapo, mtaambatana nami kwenye jioni tulivu na ya upendo nikiwa na wanangu na mume wangu. Tulifurahi, nikapika chakula, na kisha nikamalizia usiku wangu kwa kufanya self-care. Nawaonyesha jinsi ninavyotumia bidhaa zangu za kung'arisha ngozi (whitening products) ninazotengeneza mwenyewe na kuziuza!
Kama unahitaji kung'arisha ngozi yako na kupendeza, au ungependa kuagiza bidhaa zangu, maelezo yote yapo hapa chini! Tafadhali USISAHAU KULIKE, KUKOMENTI, na KUSUBSCRIBE ili usipitwe na vlogs za kifamilia, mapambo ya ndani, na maisha ya kila siku! ✨
* For Orders / Kwa Maagizo ya Bidhaa:*
📞 WhatsApp/Call: +254797656681
#HomeUpgrade #FamilyVlog #EveningRoutine #SkincareRoutine #LivingRoomDecor #MomLife