TAZAMA UTAMBULISHO WA PAPA MPYA (POPE LEO XIV) -KARDINALI ROBERT PREVOST
JUVE MEDIA
0:00 / 0:00
TAZAMA UTAMBULISHO WA PAPA MPYA (POPE LEO XIV) -KARDINALI ROBERT PREVOST
18 473 просмотра · 1 г. назад
JUVE MEDIA
27,2 тыс. подписчиков
18 473 просмотра · 1 г. назад
Kutoka kwenye bomba la Sistine,ambapo makadinali 133 wamekusanyika Mkeenye mkutano mkuu tangu Jumatano tarehe 7 Mei 2025,moshi mweupe ulitoka saa 12.07 jini huku kukiwa na shauku ya umati wa watu, karibu watu elfu 20, waliofika kwenye Uwanja wa Mtakatifu Petro kumkaribisha Papa mpya, wakipeperusha bendera kutoka sehemu mbalimbali za dunia,kutoka Hispania hadi Argentina, kutoka Hispania hadi Argentina. Milio ya kengele inasikika katika Uwanja huo, ishara ya furaha kwa uchaguzi