Rais Mwinyi, Rais Samia wanajitahidi, wapunguziwe lawama - Azim Dewji | GUMZO MAALUM
Gumzo la Ghassani
0:00 / 0:00
Rais Mwinyi, Rais Samia wanajitahidi, wapunguziwe lawama - Azim Dewji | GUMZO MAALUM
816 просмотров · 15 ч назад
Gumzo la Ghassani
45,3 тыс. подписчиков
816 просмотров · 15 ч назад
Kwenye Gumzo hili Maalum, mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania, Azim Dewji, anachambua kwa kina mtazamo wake kuhusu maendeleo na jitihada zinazofanywa na viongozi wakuu wa nchi. Azim anasema mengi mazuri yanafanywa na Serikali ya Muungano chini ya Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar chini ya Rais Hussein Mwinyi, lakini changamoto kubwa ni kwamba wakosoaji huchagua kupofusha macho yao ili watafute cha kukosoa kila wakati.
🔍 Je, unakubaliana na kauli hii ya Azim Dewji? Tuambie maoni yako kwenye sehemu comments hapa chini.
👍 Usisahau ku-like, kusambaza kwa wengine na ku-subscribe channel yetu kwa taarifa na mahojiano zaidi yenye tija!
#AzimDewji #GumzoMaalum #RaisSamia #RaisMwinyi #Tanzania #Maendeleo #HabariZaLeo