Перейти к содержимому

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING - 27 OCTOBER 2026

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH

0:00 / 0:00

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING - 27 OCTOBER 2026

4 834 просмотра · Трансляция закончилась 20 ч назад
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH
66,1 тыс. подписчиков
4 834 просмотра · Трансляция закончилась 20 ч назад
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING - 27 OCTOBER 2026 UJUMBE WA LEO: "NGUVU YA SADAKA KIUCHUMI MAJIRA YANAPOBADILIKA" NENO KUU: Nikusanyieni wacha Mungu wangu Waliofanya agano nami kwa dhabihu. Zaburi 50 : 5 LENGO LA SOMO: 1. Mungu Kutuma MAARIFA juu ya MAJIRA KIUCHUMI 2. Mungu Kutujulisha jinsi Sadaka hutumika katika Ulimwengu wa roho KULINDA au KUVURUGA majira ya mtu Kiuchumi. 4. WAZO la kutoa SADAKA si la kibinadamu bali ni la Mungu. WAZO la Mungu la kutoa Sadaka linakuja na Maelekezo yafuatayo: 👉Cha Kutoa 👉Pa Kutoa 👉Muda wa Kutoa Uliona Mungu amekupa/amekuletea wazo la Kutoa Sadaka basi ujue: 👉Anakubariki (kuna baraka Mbele yako) 👉Ameshakubariki 👉Anakupima. 5. SADAKA ni Moja ya Kitu Kinachotumika katika Ulimwengu wa roho Kumuunganisha/Kumuungamanisha mtu na MSAADA wake wa Kiroho KIUCHUMI. Waebrania 10 : 19 - 20 Kutoka 23 : 15 "Kuna UHUSIANO uliopo kati ya SADAKA na Ulinzi wa MAJIRA kwenye UCHUMI wa Mtu" Malaki 3 : 11 "Unapotoa SADAKA toka kwenye Mikondo ya Uchumi wako unafanya AGANO na Mungu kwa Sadaka" (UNAINGIA UBIA NA MUNGU KWENYE UCHUMI WAKO) Zaburi 50 : 5 "Adui akivuruga utoaji wako wa SADAKA,analenga Kuvuruga MAJIRA kwenye UCHUMI wako na Kazi ya UFALME" "SADAKA zinazo/zilizotolewa kwenye madhabahu za giza zinaweza Kuvuruga MAJIRA ya Uchumi wa mtu" "Lazima Kusimama na Damu ya Yesu kama Sadaka kushughulikia hizo sadaka kwenye madhabahu za giza kukuhusu na sauti zake" Kama Kuvurugwa kwa Majira ya Uchumi wa Mtu kumetokana na Kuvurugwa kwa UTOAJI wake wa Sadaka basi Dawa yake: 👉Kuomba Toba Na Rehema eneo la Utoaji wako wa SADAKA 👉Toa sadaka kwa namna ikupasayo kutoa sawa na Maelekezo ya Mungu AGENDA ZA MAOMBI 1. Omba TOBA na REHEMA eneo la Utoaji wako wa SADAKA kulikovuruga Majira ya UCHUMI wako. 👉Kutupilia Mbali wazo lake la kutoa 👉Kutokutii 👉Kutojali Thamani ya Sadaka 👉Kutojali Muda wa Kutoa 👉Kutotangua NADHIRI kwa wakati. 👉Kutomtazama Mungu bali watu wakati wa Kutoa 👉Kwa kutotoa kwa IMANI 2. Simama na Damu ya Yesu kama Sadaka kushughulikia Kila Sadaka zinazo/zilizotolewa kwenye madhabahu za Giza kukuhusu ili Kuvuruga MAJIRA ya Uchumi wako. 3. Omba Neema na REHEMA za Mungu KUREKEBISHIWA na KUREJESHEWA MAJIRA kwenye UCHUMI wako. Mhubiri: Mwl Eng Goodluck Mushi Kwa maombi na ushauri : Mch. Kiongozi: Dkt. Eliona Kimaro Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053 Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga Simu: +255 713 553 443 YouTube: Kijitonyama Lutheran church Barua Pepe : Kijitonyamalutheran@gmail.com