Mtakatifu Lyrics - Misa Mtakatifu Anna | Fr. Kayeta| Full Media
Full Media
0:00 / 0:00
Mtakatifu Lyrics - Misa Mtakatifu Anna | Fr. Kayeta| Full Media
2 916 просмотров · 1 год назад
Full Media
3,28 тыс. подписчиков
2 916 просмотров · 1 год назад
Mtakatifu Lyrics
Mtakatifu Mtakatifu Bwana Mungu
Bwana Mungu wa majeshi
Mtakatifu Bwana Mungu wa majeshi
Mbingu na dunia zimejaa utukufu wako
Zimejaa utukufu wako
{ Hosana juu, hosanna juu, hosanna juu,
hosanna hosanna juu mbinguni *2
Mbarikiwa yeye ajaye, ajaye kwa jina la Bwana
Kwa jina la Bwana
Yeye ajaye kwa jina la Bwana anayekuja kwa jina la Bwana