BROKEN VOWS [1]
Silver Screen society
0:00 / 0:00
BROKEN VOWS [1]
559 просмотров · 4 месяца назад
Silver Screen society
1,72 тыс. подписчиков
559 просмотров · 4 месяца назад
Alikuwa anaishi kama mke mwaminifu…
lakini ndani ya moyo wake kulikuwa na siri iliyoweza kuvunja ndoa yote… 💔
Sara anaanza kuingiwa na hofu baada ya kugundua ana mimba ambayo si ya mume wake, Mwasadaka.
Lakini kabla hajapata nafasi ya kuficha ukweli… Mwasadaka anasikia mazungumzo ambayo yanabadilisha maisha yao milele.
Mapenzi, usaliti, maumivu na ukweli vinaanza kugongana ndani ya nyumba moja… 😳🔥
🎬 BROKEN VOWS – EPISODE 1
👉 Mwanzo wa majeraha ambayo hakuna aliyekuwa tayari kuyaona…
#BrokenVows
#SwahiliDrama
#KenyanContent
#ViralAfrica