Перейти к содержимому

Wema wako - Master E Music [ Official music video ]

Master E Music 🎶

0:00 / 0:00

Wema wako - Master E Music [ Official music video ]

3 186 просмотров · 2 месяца назад
Master E Music 🎶
678 подписчиков
3 186 просмотров · 2 месяца назад
#MasterEMusic #WemaWako #OfficialMusicVideo Wema Wako – Master E Music (Official Music Video) Karibu kutazama "Wema Wako", Official Music Video kutoka kwa Master E Music. Wimbo huu wa gospel unazungumzia ukuu, upendo na wema wa Mungu usioisha. Ni wimbo wa shukrani unaotukumbusha kuwa katika kila hatua ya maisha, Mungu amekuwa mwaminifu na mwenye rehema. 🙏 Tunakushukuru kwa kutazama. Usisahau: ✅ Like ✅ Comment ✅ Share ✅ Subscribe kwenye Master E Music na uwashe alama ya kengele (🔔) ili usikose nyimbo na video mpya. Mungu akubariki sana! #MasterEMusic #WemaWako #OfficialMusicVideo #GospelMusic #TanzaniaGospel #ChristianMusic #Praise #Worship