MISA TAKATIFU MAZISHI YA MAMA WA PADRE DKT FAUSTINE KAMUGISHA - BUKOBA
Radio Mbiu
0:00 / 0:00
MISA TAKATIFU MAZISHI YA MAMA WA PADRE DKT FAUSTINE KAMUGISHA - BUKOBA
2 940 просмотров · 2 месяца назад
Radio Mbiu
31,6 тыс. подписчиков
2 940 просмотров · 2 месяца назад
MISA YA MAZISHI YA MAMA WA PADRE DKT FAUSTINE KAMUGISHA- BUKOBA
Adhimisho la Misa Takatifu, ya kumuaga na kumuombea, Marehemu Ma Theonestina Kanule Ferdinand, Mama mzazi wa Padre Dkt Faustine Kamugisha, Paroko wa Parokia ya Minziro Jimbo Katoliki Bukoba.
Misa Takatifu imeadhimishwa June 29 2026 na Mhashamu Jovitus Mwijage, Askofu wa Jimbo Katoliki Bukoba, nyumbani kwao kigango cha Kyamwanjura, Parokia ya Bikira Maria wa Theluji-Ngarama, Jimbo katoliki Bukoba.
Raha ya Milele umpe Ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani, Amina.
www.radiombiu.co.tz
#rmsautiyafaraja