Перейти к содержимому

BASI NYENYEKEENI-Mtunzi ALOYCE GODEN. ( Kwaresma)Waimbaji CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS DSM TANZANIA

Aloyce Goden Kipangula

0:00 / 0:00

BASI NYENYEKEENI-Mtunzi ALOYCE GODEN. ( Kwaresma)Waimbaji CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS DSM TANZANIA

123 038 просмотров · 6 лет назад
Aloyce Goden Kipangula
134 тыс. подписчиков
123 038 просмотров · 6 лет назад
Wimbo huu unaoitwa Basi nyenyekeeni chini ya mkono wa Mungu; ni mwendelezo wa tafakari zangu nizoendelea kutunga kwa kadili ya karama aliyonijalia Mwenyezi Mungu. na unapatikana katika mkusanyiko nyimbo tafakari yangu ya pili katika Albamu inayoitwa WAPITAJI NA WASAFIRI. Tafakari yangu ya kwanza inaitwa NIMEKOSA NIHURUMIE yenye nyimbo kama LAKINI HATA SASA, NIMEKOSA NIHURUMIE,AFICHAYE DHAMBI ZAKE,EE MUNGU WA HAKI YANGU,NIMEUMBWA KWA AJILI YAKO na EE BWANA UNIFADHILI.