ZANZIBAR KESHO HAPATOSHI! JPM, Mama Samia, Makonda, Wameshawasili
Global TV Online
0:00 / 0:00
ZANZIBAR KESHO HAPATOSHI! JPM, Mama Samia, Makonda, Wameshawasili
21 178 просмотров · 8 лет назад
Global TV Online
5,94 млн подписчиков
21 178 просмотров · 8 лет назад
Subscribe / uwazi1
MAKAMU WA RAIS WA TANZANIA, SAMIA SULUHU ATINGA ZANZIBAR LEO
Makamu wa rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewasili leo saa kumi jioni katika uwanja wa ndege wa Zanzibar, akiwa ameambatana na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kwa ajili ya kuhudhuria hafla mbili za kitaifa, kuhitimisha kilele cha Mwenge na kuadhimisha kumbukumbu ya kifo cha baba wa Taifa, Mwl Julius Nyerere, zikazofanyika kesho katika uwanja wa Amani uliopo katika mkoa wa Mjini Magharibi.
Mama Samia na RC Makonda wamepokelewa na mwenyeji wao, mkuu wa mkoa wa Mjini Magharibi, Ayoub Mohammed Mahmoud, ambaye aliwashukuru kwa kuwasili kwao Zanzibar na kuahidi kushirikiana nao katika shughuli ya kesho kikamilifu.
subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli. .