Перейти к содержимому

“KANIOMBA RUHUSA…” — SAMIA AMTAJA CHALAMILA, KISHA AMLIPUA

TMC NEWS TV

0:00 / 0:00

“KANIOMBA RUHUSA…” — SAMIA AMTAJA CHALAMILA, KISHA AMLIPUA

8 091 просмотр · 4 дня назад
TMC NEWS TV
40 тыс. подписчиков
8 091 просмотр · 4 дня назад
Rais Samia Suluhu Hassan amemzungumzia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, katika maelekezo yake kuhusu hali ya usafi wa jiji hilo. Rais Samia amesema Chalamila alikuwa ameomba ruhusa kwenda kwa ajili ya matibabu, lakini akatumia fursa hiyo kuzungumzia hali ya usafi katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, akisema mji huo bado unaonekana kuwa mchafu. Amesisitiza kuwa viongozi wa mikoa na halmashauri wanapaswa kusimamia usafi kwa umakini na kuhakikisha mazingira ya miji yanakuwa safi na yenye kuvutia wananchi, wawekezaji na watalii. Kauli ya Rais Samia imeibua mjadala kuhusu uwajibikaji wa viongozi katika kusimamia usafi wa miji. TMC NEWS | Shaping The Future Asante kwa kufuatilia TMC NEWS. Subscribe, Like na Share ili kuendelea kupata habari za uhakika, matangazo ya moja kwa moja na uchambuzi wa kina kutoka Tanzania na duniani. 🔔 Washa arifa (Notifications) ili usipitwe na taarifa muhimu. 📢 Kwa matangazo, ushirikiano na maoni: 📧 tmcnewsmedia@gmail.com 📞 +255 674 075 414 🌐 Tufuatilie kwenye mitandao yote ya kijamii: @tmcnewsmedia #tmcnews565 #ShapingTheFuture #BreakingNews #TanzaniaNews #LiveNews#SamiaSuluhuHassan #Chalamila #AlbertChalamila #DarEsSalaam #Usafi #Uchafu #Tanzania #WakuuWaMikoa #Halmashauri #TanzaniaNews