Перейти к содержимому

SIKILIZA UJUMBE HUU WENYE NGUVU: MAMLAKA YA KIFALME . Na Mch. Stanley Lazaro.

Doxor Christian Centre(TAG DCC)

0:00 / 0:00

SIKILIZA UJUMBE HUU WENYE NGUVU: MAMLAKA YA KIFALME . Na Mch. Stanley Lazaro.

120 просмотров · 2 г. назад
Doxor Christian Centre(TAG DCC)
705 подписчиков
120 просмотров · 2 г. назад
Ili uweze kufanikiwa Katika eneo lolote la kiutendaji Unahitaji Sana Kuitambua Mamlaka iliyopo ndani yako ambayo inatokana na kulibeba Jina la Yesu ambaye ndiye Mungu mwenye Mamlaka Yote Duniani na Mbinguni.Mamlaka yake Haina kizuizi chochote.. ndio maana tunamuita Muweza WA yote. Sikiliza Kwa makini Somo hili toka Kwa Mtumishi WA Mungu Pastor Stanley Lazaro .Hakika Hautabaki kama ulivyo.