Grace Gregory-bila YESU ni bure(official audio) produced by wabomabeats
Waboma beats
0:00 / 0:00
Grace Gregory-bila YESU ni bure(official audio) produced by wabomabeats
92 просмотра · 5 дней назад
Waboma beats
178 подписчиков
92 просмотра · 5 дней назад
Grace Gregory ni muimbaji chipukizi toka pande za Babati Manyara akitazamiwa kufanya makubwa katika injili ya kumtangaza YESU kristo kama bwana na mwokozi wa ulimwengu kwa njia ya uimbaji.kwa sasa anapambana na masomo lkn pia kipaji chake kikubwa hakiwezi kujificha ktk kumtumikia Mungu anachohitaji kutoka kwako kama shabiki na mtu anayepaswa kufikiwa na ujumbe wa neno la Mungu tunaomba like, comment,share na Mungu atakubariki zaidi.amen 🙏