🔴#Live: Ibada Ya Siku Ya Bwana: Mtume Yusufu - Kumpa Mungu Nafasi
Prophet Hebron Wilson Kisamo
0:00 / 0:00
🔴#Live: Ibada Ya Siku Ya Bwana: Mtume Yusufu - Kumpa Mungu Nafasi
525 просмотров · Трансляция закончилась 2 месяца назад
Prophet Hebron Wilson Kisamo
60,2 тыс. подписчиков
525 просмотров · Трансляция закончилась 2 месяца назад
Karibu kwenye ibada ya siku ya Bwana (Live) tarehe 02/08/2026 kuanzia saa sita mchana saa za afrika mashariki na kuendelea, utafunguliwa vifungo mbalimbali na kuwekwa huru, mjulishe ndugu, jamaa na rafiki kwa kusambaza na ku-like ujumbe huu wapate kushiriki baraka hizi, Kwa msaada zaidi tupigie +255 744702734, Watu wote mnakaribishwa.
Somo: Kumpa Mungu nafasi.
Zab. 121:1-8
Isaya 27:3, 49:10