Перейти к содержимому

WALIMDHARAU KWA UKIMYA WAKE, KUMBE NI MUUAJI WAKUTISHA!

Swahili Recap и Swahili Recap Plus

0:00 / 0:00

WALIMDHARAU KWA UKIMYA WAKE, KUMBE NI MUUAJI WAKUTISHA!

20 251 просмотр · 2 недели назад
Swahili Recap и Swahili Recap Plus
20 251 просмотр · 2 недели назад
Aliingia gerezani akiwa kijana mtulivu na asiyeonekana kuwa na nguvu, lakini hakuna aliyepajua siri aliyokuwa ameificha. Kila mtu alimchukulia kama mtu wa kawaida, mpaka alipoanza kujihusisha na watu hatari zaidi gerezani. Akiwa kwenye dhamira ya siri, lazima apate imani ya bosi mkubwa wa mafia na kujaribu kuangamiza mtandao wao wa uhalifu kutoka ndani. Lakini mambo yanabadilika pale urafiki, usaliti, mapenzi ya familia na kisasi vinapoanza kuchanganyika. Je, ataweza kutekeleza kazi yake bila kugundulika? Na atakapogundua ukweli wa kutisha kuhusu kifo cha mama yake, atafanya nini? 🔥 Tazama movie hii hadi mwisho ujue jinsi kila kitu kinavyogeuka! Subscribe kwenye channel kwa recap zaidi za movies zenye kusisimua, action, crime na stories za kushangaza.