Baba aua wanawe wawili, mtoto wa tatu awahishwa hospitali kutibiwa
Azam TV
0:00 / 0:00
Baba aua wanawe wawili, mtoto wa tatu awahishwa hospitali kutibiwa
7 300 просмотров · 3 года назад
Azam TV
3,3 млн подписчиков
7 300 просмотров · 3 года назад
Mkazi wa Chanika, Dar es Salaam Karim Shaban anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za mauaji ya wanaye wawili kwa tuhuma za kuwanywesha sumu watoto hao usiku wa kuamkia jana huku mazishi ya watoto wa;iofariki yakifanyika leo jioni.