Перейти к содержимому

Utepetevu wa maafisa waibua maswali baada ya jengo kuporomoka Eastleigh

Citizen TV Kenya

0:00 / 0:00

Utepetevu wa maafisa waibua maswali baada ya jengo kuporomoka Eastleigh

5 483 просмотра · 5 ч назад
Citizen TV Kenya
6,73 млн подписчиков
5 483 просмотра · 5 ч назад
Huku maafisa wa idara ya upelelezi wa jinai - DCI wakichunguza yaliyosababisha jumba kuporomoka mtaani Eastleigh, masuali yameibuliwa kuhusu utepetevu wa maafisa mbalimbali. Runinga ya Citizen imebaini kuwa juhudi za kusitisha ujenzi wa jumba hilo zilihujumiwa baada ya washukiwa 10 wanaohusishw ana mjengo huo kuachiliwa kw adhamana ya shilingi 50,000 pesa taslimu bila kufunguliwa mashtaka. Haya ni huku ikibainika kuwa jumla ya majumba 256 yanajengwa bila idhini jijini Nairobi.