KIVULI CHA URAFIKI FULL VIDEO
Stories with me
0:00 / 0:00
KIVULI CHA URAFIKI FULL VIDEO
110 950 просмотров · 2 недели назад
Stories with me
5,02 тыс. подписчиков
110 950 просмотров · 2 недели назад
Vanessa na Linda wamekuwa marafiki wa karibu kwa miaka mingi, lakini urafiki wao unakuja kujaribiwa baada ya Ashley kuingia kwenye maisha yao.
Ashley anamficha Vanessa ukweli kuhusu hisia zake kwa Jaydan na anafanya kila awezalo kumkaribia, huku Jaydan akiwa na moyo wake kwa Vanessa. Uongo mmoja baada ya mwingine unaanza kuvuruga urafiki, mapenzi na maisha yao.
Je, ukweli utaibuka kabla kila kitu hakijaharibika? Na Vanessa atagundua nini kuhusu mtu aliyemwamini zaidi?
Karibu kwenye Kivuli cha Urafiki — story ya mapenzi, urafiki, usaliti na ukweli unaokuja wakati ambao hakuna anayetarajia.
Copyright Disclaimer & Ownership:
Hadithi na Script: Hadithi hii na mazungumzo (script) yote vimetungwa na kuandikwa kwa 100% na storieswithme.
Umiliki wa Kazi: Video hii ni mali halisi ya chaneli ya storieswithme. Hairuhusiwi kunakili, kupakua, au kurusha vipande vya video hii kwenye chaneli nyingine yoyote bila idhini.
Teknolojia: Picha, video clips, na sauti za wahusika zimezalishwa kwa msaada wa zana za AI kufuata mtiririko na maelekezo ya script yangu halisi.
#kivulichaurafiki #swahilistories #mapenzi #usaliti #lovestory #swahilidrama #simulizi #3danimation