Gachagua: Museveni ameafiki madai yangu kuhusu mkataba wa mafuta
Citizen TV Kenya
0:00 / 0:00
Gachagua: Museveni ameafiki madai yangu kuhusu mkataba wa mafuta
8 005 просмотров · 5 часов назад
Citizen TV Kenya
6,68 млн подписчиков
8 005 просмотров · 5 часов назад
Kinara wa DCP, Rigathi Gachagua, sasa anasema Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, ameafiki madai yake ya awali kuhusu mkataba wa uuzaji mafuta ya petroli kati ya Kenya na Uganda.
Gachagua, aliyezungumza wakati wa ziara yake nchini Marekani, aliendelea kumlaumu Rais William Ruto, akidai kuwa ndiye mhusika mkuu.
Na kama Brenda Wanga anavyoripoti, Gachagua anasema Kenya inapaswa kuchukua mkondo wa Uganda ili kuokoa pesa zinazopotea.