TUPO DAR AU PWANI, WANANCHI WAFUNGUKA MBELE YA WAKUU WA MIKOA NA MAWAZIRI BAADA YA AGIZO LA NDEJEMBI
Millard Ayo
0:00 / 0:00
TUPO DAR AU PWANI, WANANCHI WAFUNGUKA MBELE YA WAKUU WA MIKOA NA MAWAZIRI BAADA YA AGIZO LA NDEJEMBI
3 006 просмотров · 11 часов назад
Millard Ayo
6,2 млн подписчиков
3 006 просмотров · 11 часов назад
Baada ya Agizo la Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi, alilotoa Septemba 18, 2026, baada ya kutembelea na kukagua Dampo la Pugu na kisha kuzungumza na wananchi wa maeneo yanayolizunguka, Waziri wa TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Leonard Akwilapo, Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Hassan Chande na Wakuu wa Mikoa kutoka Dar es salaam na Pwani leo Septemba 23, 2026, wamefika Kata ya Zingiziwa na kufanya mkutano na wananchi, ikiwa ni utekelezaji wa maelekezo ya Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi
Maelekezo hayo yalihusu utatuzi wa mgogoro wa mipaka ya kiutawala kati ya Zingiziwa na Kisarawe, pamoja na mpaka wa Msitu wa Kazimzumbwi.