CHEKECHE | Nini kipo nyuma ya ushirikiano wa Uingereza na Marekani?
UTV Tanzania
0:00 / 0:00
CHEKECHE | Nini kipo nyuma ya ushirikiano wa Uingereza na Marekani?
5 194 просмотра · 1 г. назад
UTV Tanzania
187 тыс. подписчиков
5 194 просмотра · 1 г. назад
Donald Trump amefanya ziara ya kiserikali nchini Uingereza, ikitajwa kuwa ya kihistoria, na akiwa ni Rais pekee wa Marekani kualikwa na Ufalme kwa ziara mbili za kitaifa, ikitanguliwa na ile aliyoifanya mwaka 2019.
Mapokezi ya kipekee aliyofanyiwa Rais Trump na mwenyeji wake, Mfalme Charles wa Tatu, yameibua mijadala mbalimbali ikiwemo hoja: kuna nini nyuma ya pazia kwenye ushirikiano wa Uingereza na Marekani?
Hii ni #Chekeche, tunapokutana kuchambua diplomasia na siasa za kimataifa.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi