Перейти к содержимому

UFUGAJI SAMAKI KWENYE VIZIMBA ULIVYOMPA MAISHA MSOMI ALIYESOTA

Kiboko TV

0:00 / 0:00

UFUGAJI SAMAKI KWENYE VIZIMBA ULIVYOMPA MAISHA MSOMI ALIYESOTA

2 069 просмотров · 1 год назад
Kiboko TV
2,5 тыс. подписчиков
2 069 просмотров · 1 год назад
UFUGAJI SAMAKI KWENYE VIZIMBA ULIVYOMPA MAISHA MSOMI ALIYESOTA Mhitimu wa shahada ya kwanza ya ualimu na sanaa Pius Makindi mkazi wa Jijini Mwanza, licha ya kuwa msomi ambaye alitegemea kupata kazi serikalini, hakuamini kilichomtokea baada ya kusota kwa miaka sita akitafuta kazi na kisha kufanikiwa kuwa 'tajiri'. Utajiri wa Makindi ulianzaje, Fuatilia KIBOKO TV na Subscribe ili upate habari kamili baada ya kuwezeshwa na benki ya TADB