Askari zaidi ya 150 kuongeza nguvu kukabili wanyama wakali na waharibifu
UTV Tanzania
0:00 / 0:00
Askari zaidi ya 150 kuongeza nguvu kukabili wanyama wakali na waharibifu
1 084 просмотра · 2 года назад
UTV Tanzania
183 тыс. подписчиков
1 084 просмотра · 2 года назад
Katika kuhakikisha wananchi wanaondokana na changamoto ya wanyamapori wakali na waharibifu , Wizara ya Maliasili na Utalii inaendeleza mikakati yake kwa kutoa mafunzo kwa askari wa uhifadhi na vijiji ili kukabiliana na changamoto hiyo.
Wizara hiyo kupitia Taasisi ya Wanyamapori Tanzania (TAWA) kwa kuwezesha na Taasisi isio yakiserikaki ya Frankfurt Zoological Society, imewapeleka askari wa wanyamapori na wanavijiji kupata mafunzo katika Chuo Cha Uhifadhi wa Vijiji kwa Jamii.