INSPECTOR HAROUN - Kisa cha Kuvunjika kwa Gangwe Mobb | P Funk Majani Ahusishwa - Part 2
Bongo Project
0:00 / 0:00
INSPECTOR HAROUN - Kisa cha Kuvunjika kwa Gangwe Mobb | P Funk Majani Ahusishwa - Part 2
3 791 просмотр · 3 года назад
Bongo Project
9,6 тыс. подписчиков
3 791 просмотр · 3 года назад
Inspector Haroun Babuu anaelezea kisa cha kuvunjika kwa Gangwe Mobb na mpaka Luteni Kalama kujitoa. Anazungumzia mchango wa Said Fella na bifu lake na Juma Nature. Pia anasimulia visa vya kweli vya baadhi ya nyimbo zake ikiwemo Asali wa Moyo, ambao alimuimbia mke wake. Kwa hayo na mengine mengi kuhusu maisha ya awali ya Bongo Fleva usikose mazungumzo haya...
#inspectorharoun #gangwemobb #lutenikalama #jumanature #bongoproject
Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
--------------------
WEBSITE
--------------------
bongoproject.org
--------------------
SOCIAL MEDIA
--------------------
Instagram: / bongo_project
Facebook: / bongo-project-102566415873260
--------------------
CONTACT
--------------------
Email: info@bongoproject.org