Перейти к содержимому

Kaimati Rahisi sana na Nzuri Mnoo

Malkia Foods

0:00 / 0:00

Kaimati Rahisi sana na Nzuri Mnoo

60 175 просмотров · 2 года назад
Malkia Foods
92,3 тыс. подписчиков
60 175 просмотров · 2 года назад
Unga Vikombe 3 sukari vijiko 5 vya chakula chumvi 1/2kijiko cha chai iliki 1kijiko cha chai hamira 1/2 kijiko cha chakula baking Powder 1 kijiko cha chai maziwa mgando vijiko 5 chakula mafuta ya kupikia vijiko 4 chakula maji vikombe 2 ( unaweza ongeza 1/2 isipotosha)